Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini
wameanza kutumia style mpya ya
kugundisha nywele aka wiving katika
vichwa vyao kwa kutumia gundi pasipo
kujua mazara yake.
Watafiti na Madaktari kutoka Bara ya Ulaya
wamethibitisha kuwa gundi hizo
zinazotumiwa huwa zinakemikali ambayo
zinaleta adhari kubwa katika mwili wa
mwanadamu hususani kansa.

Mpaka sasa madaktari bingwa kutoka ulimwenguni kote bado hawajapata uvumbuzi wa dawa ya kutibu kansa zaidi     
tu kutumia njia ya kuchomelea mionzi ili mgonjwa apate ahueni

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top