Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Katika  baadhi ya mitandao ya habari ya kijamii zimekuwepo habari zilizonukuliwa zikitoa taarifa kuwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetangaza nafasi za ajira kwa Wahifadhi Wanyamapori madaraja ya pili na tatu.
 
Shirika la Hifadhi za Taifa linapenda kutoa ufafanuzi kuwa nafasi hizo zilizotangazwa sio za Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) bali ni ajira zilizotangazwa na Serikali Kuu kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma – Ofisi ya Rais na ambako kimsingi maombi ya nafasi hizo ndiko yanakopaswa kupelekwa.
Imetolewa na Idara ya Mawasiliano
Hifadhi za Taifa Tanzania
10.04.2014

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
11 Apr 2014

Post a Comment

 
Top