Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

''Mulky Abdul'' Bongo Movies Actress
Dada huyu amekuwa kivutio kikubwa sana wakati wa shooting ya Filamu mpya ya Mtunisy iitwayo TUGAWANE MAUMIVU hii ni baada ya TOM BOY,

Kwa mujibu wa baadhi ya watu walioshuhudia baadhi ya vipande Location wakati dada huyu alipokuwa akifanya yake waliiambia masainyotambofu.com kwamba filamu hiyo huwenda ikaja kuwa habari ya mjini kupitia vipande alivyovicheza Binti huyu na Director Mtunisy,

Mashabiki hao walizidi kusisitiza kwamba mrembo huyo mbali na uzuri aliokuwa nao alicheza kwa hisia sana.


''Mulky Abdul'' katika pooooozzzz.. Apan chezeaaaaa..!


''Mulky Abdul''
kulia akifuatiwa na Kabuti Onyango The best Camera man in Tz na aliovaa nguo za rangi ya Chungwa neinua mguu juu ni Mtunisy hapo wakiwa Location. Wadau kaeni mkao wa kula TUGAWANE MAUMIVU ipo mbioni kuingia madukaniiiiiiiiiiiiiiiiii...!!!

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top