Kijana aliyefahamika kwa jina la
Emmanuel ambae alikuwa tishio kwa mapenzi ya jinsia moja lakini sasa
hivi ametangaza kuachana kabisa na biashara hiyo badala yake anataka
kumrudia muumba wake kwani tayari ameshaanza kutubu dhambi zake ili
asamehewe, huku akisema kuwa amefanyakazi hiyo kwa muda sana tangu akiwa
na umri mdogo na ameshatembea sana na waume za watu.
CREDIT:XDEEJAYZ TANZANIAFacebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment