Kadhia hiyo imetokea leo asubuhi
baada ya mabasi yakitoka dar es salaam kwenda mikoani walipofika katika
daraja la mto ruvu kukuta daraja hilo limeja maji na kusababisha
msululu mrefu wa magari tangu saa mbili asubuhi hadi muda huu.
Maji
yaliojaa pande zote za Barabara ya Morogoro chalinze Eneo la Ruvu
darajani muda huu.Maji ni Mengi Mto haujulikano unapoanzia na kuishia
maji yamejaa pande zote za barabara,Magari yamesimama na hakuna Gari
linalovuka daraja la Ruvu kwa sasa.
Msururu
Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu
Darajani,Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali
iliyopelekea Maji kujaa na Kukatiza Juu ya Barabara,Kwa usalama magari
yote yamesimama kusubiri hali kutengemaa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment