Dar
salaam: Hivyo ndivyo hali ilivyo kwasasa
katika eneo hilo la daraja la matumbi lililopo barabara ya mandela
ubungo kwelekea buguruni imetanganishwa hivyo kwa daraja hilo
kukatika kwasababu ya maji yanaopita eneohilo la daraja kuzidi nguvu
nguzo za daraja hilo na kulipelekuea kukatika. Watanzania tusiishie kulaume serekali kama wengi wetu hufanya kwasasa kinachoitajika na maombi kwa Mungu .
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment