Kwa mashabiki wa Wema Sepetu sasa mkae
tayari kwa kuipokea filamu yake mpya iitwayo
MADAME (our own crazy boss lady) ambayo
jana inatarajiwa kutoka yaani Alhamisi ya jana
ambapo humo ndani wapo Mastaa wengine
kama Deogratus Shija,Simon J
Mwapagata,Maulidy Ally na Sudy Ally.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment