Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mastaa wengi wa bongo wamekuwa wakijiuliza
hivi ni nani anayemiliki hii account ya
#teamukwelinauwazi ya instagram, Coz toka
ifunguliwe account hiyo imekuwa ikotoa habari za
ndani za masuperstaa wa bongo tanzania, Ni ki2
ambacho kinawaumiza sana masuperstaa, But
hopefull kwa wasomaji wanakuwa wanaenjoy coz
wanakuwa wanapata hali halisi ya maisha ya
baadhi ya wasanii, though we are not sure kama
all those news anayeandika huyo mtu kupitia
account yake yake ya #teamukwelinauwazi kama
ni kweli au laa but all in all people are and
interested with this account khaaa japo imekaa
kimbwyambeya sana jamany.
terereka nazo hapo chini.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top