Tweet
Mwanadada Florah Mvungi amekumbwa na dhahama ya aina yake baada
ya wezi ambao hawajapatikana mpaka sasa kuvunja kioo cha gari yake na
kumuibia laptop yake na flash yake iliyokuwa na wimbo mpya wa mumewe
H-Baba na kisha kuamua kuuvujisha wimbo huo kama alivyoelezea mwanadada
huyo akionesha picha ya gari yake hiyo ilivyunjwa kioo hapo juu.
‘’…My car jamani ndo kwanza ina about a month since iingie
mume wangu katoka nayo wamevunja wameiba laptop yake.flash yenye nyumbo
zake yaani these thieves i hate youuuuuuuu..sasa mmeiba sawa haya na
inakuwaje mvujishe wimbo wa hbaba?sasa mapigo mawili kutengeneza gari na
wimbo mnavujisha TUBEBANE SONG haikuwa itoke sasa ndo nini?? Why
kariakoooooo lumumba jamaniiiiii my new car..’’
Pole sana dada Florah
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment