Tarehe 24/3/2014 ambayo itakuwa siku ya jumatatu video mpya ya ‘chuna buzi’ kutoka kwa msanii Shilole itaanza kuonekana rasmi kwenye TV station na pia kwenye baadhi ya chanel za youtube ambapo kwa mujibu wa Millard Ayo mmiliki na pia mtangazajii wa clouds fm ameripoti kuhusu video hii kuwa na version mbili tofauti kabisa sasa kupitia website yake aliachia kipande cha video hiyo hiki hapa BOPNYEZA HAPA KUTIZAMA VIDEO HIYO
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment