Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Rafiki wa karibu wa Bobbi Kristina Brown, Amber Melvisha ana amini kuwa familia ya Bobbi haikufanya jitihada yoyote ya kuokoa maisha ya rafiki yake, amedai kuwa ndugu zake waliokuwa  karibu nae hospitali walikua na ajenda za siri na nia binafsi ndio waliosababisha kifo icho.
Amber pia amefunguka kuwa Bobbi alikaa wiki tatu bila ya kupewa virutubisho vyovyote mwilini na aliongeza kuwa kuna Daktari alikuja na mpango ambao ungeweza kuokoa maisha ya Bobbi lakini familia ilikataa  . 

Upande wa pili bado haujajibu shutuma hizi.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top