Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
university_of_capetown_640x360_afp
Chuo Kikuu cha Cape town
Vyuo vikuu vya Afrika Kusini ndio bora zaidi na maarufu barani Afrika.
Katika utafiti uliofanyika majuzi, vyuo vikuu vya Afrika Kusini vilishika nafasi 6 katika orodha ya vyuo vikuu kumi bora.
Chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda kimeorodheshwa katika nafasi ya tatu.
Chuo kikuu cha Port Harcourt kilichoko Nigeria kimeorodhesha katika nafasi ya sita.
Chuo kikuu cha Nairobi nchini Kenya kimeorodheshwa katika nafasi ya nane.
Jarida la ”The Times Higher Education” lilitumia idadi na ubora nukuu kutoka kwa wasomi wake.
Je viwango vya ubora wa masomo na utafiti wa vyuo vikuu vya Afrika Mashariki vimeshuka ?
Jadili

1.Chuo kikuu cha Cape Town – Afrika Kusini
2.Chuo kikuu cha Witwatersrand – Afrika Kusini
3.Chuo kikuu cha Makerere – Uganda
4.Chuo kikuu cha Stellenbosch – Afrika Kusini
5.Chuo kikuu cha KwaZulu-Natal – Afrika Kusini
6.Chuo kikuu cha Port Harcourt – Nigeria
7.Chuo kikuu cha Western Cape – Afrika Kusini
8.Chuo kikuu cha Nairobi – Kenya
9.Chuo kikuu cha Johannesburg – Afrika Kusini
10.Chuo kikuu cha Cadi Ayyad – Morocco

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top