Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
August 24 klabu ya Arsenal ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza mechi iliyochezwa katika uwanja wa Emirates wenye  uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya 60,000. Mechi hiyo ambayo ilikuwa na mvuto wa aina yake kwa mashabiki wa Ligi Kuu Uingereza.
during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.
Mashabiki walikuwa na kiu ya kukosa mechi za Ligi Kuu kwa muda ila kwa bahati mbaya mechi hiyo ya Arsenal dhidi ya Liverpool imemalizika kwa sare ya kutofunga goli (0-0).
Nazisogeza karibu yako picha za mechi hiyo 
during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.
during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.
during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.
during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.
Generated by IJG JPEG Library
during the Barclays Premier League match between Arsenal and Liverpool at Emirates Stadium on August 24, 2015 in London, England.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

Top