Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo.
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
Baada ya matokeo hayo, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa Kuandika ujumbe huu;
Kuna matokeo ya aina 3
>>Kushinda
>>Kushindwa
>>Kudroo.
Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia
Post a Comment
Post a Comment