Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wakiwa wanasubiria kujua kama wataibuka washindi kwenye tuzo za MTV MAMA zinazofanyika weekend hii jijini Durban, SA, Diamond na Vanessa Mdee wametajwa tena kuwania tuzo za African Entertainment za nchini Marekani.
diamond
Diamond ametajwa kuwania vipengele viwili cha kwanza kikiwa ni Hottest Male Single of the Year ambapo wimbo wake ‘Ntampata Wapi’ unashindana na Aye wa Davido, Original wa Fally Ipupa, Get Low wa Dellon Francis na Lobi wa R2bees.
Tuzo nyingi anayowania ni ya
Best Male Artist of the Year anayoshindana na Fally Ipupa, Eddy Kenzo, Wizkid na Sarkodie.

Vanessa Mdee
Vanessa anawania tuzo ya Best Female Artists of the Year akishindana na Victoria Kimani, Yemi Alade na Bucie.
Mwisho wa kupiga kura ni August 30 na tuzo zitatolewa October 31.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top