March 19, 2025 05:19:41 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Watu wanne wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea wilaya Hai, Kilimanjaro ikihusisha gari aina ya Hiace iliyokuwa ikifanya safari zake kati ya Sanya Juu na Moshi baada ya kugongana na Fuso.

Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro Fulgence Ngonyani amesema ajali hiyo imetokea saa moja asubuhi, ambapo majeruhi 8 wamelazwa katika Hospitali Mawenzi na (KCMC) kwa matibabu na baadhi yao hali zao ni mbaya.





Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
17 Jul 2015

Post a Comment

 
Top