Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
unnamed (1)
October 25 2015 ni siku ya Uchaguzi Mkuu ambapo Watanzania watachagua Rais, Wabunge na Madiwani.. sababu hiyo pekeyake inatosha kutufanya tusikwepe kabisa kukutana na stori za kisiasa Tanzania !!
Idadi ya Wanahabari waliotangaza Kugombea Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali Tanzania imezidi kuongezeka, tumesikia kuhusu wengi ikiwemo mmoja ya Wanahabari wakongwe Tanzania, Godwin Gondwe ambaye ametangaza kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilemela Mwanza.
unnamed (2)
Godwin Gondwe anagombea Jimbo hilo na Sera yake ni hii >>>> ‘MABADILIKO NI SASA, KURA YAKO INA THAMANI KWA MAENDELEO YA ILEMELA
Hapa ninayo picha inayothibitisha kwamba tayari Godwin Gondwe amechukua fomu ya Kugombea Ubunge wa Jimbo hilo Mwanza.
unnamed

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
22 Jul 2015

Post a Comment

 
Top