March 17, 2025 11:41:06 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Chopa baada ya kuanguka juu ya mti jana jioni  katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha. 
 
Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali ya Seriani mkoani Arusha kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
08 Jul 2015

Post a Comment

 
Top