March 18, 2025 08:07:36 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
nuhu
Bado kuna hali ya sintofahamu miongoni mwa uhusiano uliopo kati ya Shilole na Nuhu Mziwanda.
Shilole amesema kwa sasa wamegombana na hatarajii kuachia wimbo na mwenzake huyo ambaye walipanga kutoa wimbo..amesema mtu akizungua na yeye anamzingua..
Amesema Nuhu amekua na wivu sana wakati yeye anaangaika kutafuta pesa..ila amesema akijua alipokosea atamsamehe ila akizingua anatafuta mtu mwingine.
Nuhu Mziwanda amesema sio kwamba wanapromote wimbo na sasa hana muda na Shilole…wana siku kama tatu tangu wagombane.
Wasikilize hapa..

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
20 Jul 2015

Post a Comment

 
Top