March 19, 2025 05:08:18 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Maelfu ya wananchi jana walijitokeza  kuwapokea wanachama wapya kutoka  Chama Cha Mapinduzi CCM ambao ni Mzee James Lembeli na  Easter  Bulaya ambao wamekihama chama Chama cha Mapinduzi kwa madai mbalimbali  ikiwemo kuhujumiwa.
 
Aidha,  Dk. Wildroad  Slaa na Mwenyekiti wa Chadema  Freeman Mbowe nao  walikuwepo pamoja  na wanachama wengine akiwemo Mbunge wa Kawe Halima Mdee.
 
Katika  hatua  nyingine  Mwenyekiti  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe  aliwakabidhi  rasmi  kadi  za  uanachama wanasiasa hao wapya ambao ni James Daudi Lembeli  na  aliyekuwa Mbuge wa Kuteuliwa mkoani Mara, Ester Amos Bulaya

Waliokuwa wabunge wa CCM,  Mzee James Lembeli (kulia) na Easter Bulaya wakiwa katika mkutano wa Chadema leo jijini Mwanza.
11754279_382774181915186_2019913800618807110_n
Marafiki wawili, Easter Bulaya akifurahia jambo na Halima Mdee.
cdm44
Viongozi wa Chadema baada ya kufika kwenye uwanja wa mkutano.
slaa13 slaa14
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbrod Slaa akiwasalimia wananchi mkutanoni.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
23 Jul 2015

Post a Comment

 
Top