Dr Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha Jana jioni nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuri kuwania Urais.
Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania
wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuli ndani ili
kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa.
Source: Radio five, Arusha
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment