Kwenye Top 10 ya muziki mkali wa Afrika ambayo hufanyika kila Alhamisi
kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho kina mamilioni ya Watazamaji
Afrika (TRACE TV Urban) July 2, 2015 single ya ‘Nana’ Diamond ft Mr
Flavour imeshika nafasi ya kwanza
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment