March 16, 2025 03:10:37 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imewahukumu kifungo cha miaka mitatu jela aliyekuwa Waziri wa Fedha Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Daniel Yona. Licha ya kuhukumiwa miaka 3 jela Mawaziri hao wa zamani wanapaswa kulipa faini ya Sh 5m kila mmoja
Katika kesi hiyo ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia hasara serikali, mtuhumiwa mwingine aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja amekutwa hana hatia.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
06 Jul 2015

Post a Comment

 
Top