Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Klabu ya Arsenal imefanikiwa kutwaa taji la Barclays Asia Trophy kwa kuifunga klabu yaEverton kwa jumla ya magoli 3-1.
Magoli ya Arsenal yamefungwa na Theo Walcott dakika 22, Santi Cazorla dakika 58 naMesut Ozil dakika 63 wakati goli pekee la Everton lilifungwa na Ross Barkley dakika ya 76.
Mashindano ya kombe Barclays Asia Trophy yamefanyika kuanzia 15-18 July katika Uwanja wa taifa wa Singapore kwa kushirikisha timu nne ambazo ni Arsenal, Everton, Stoke City na Singapore Selection XI.
Nimekusogezea picha mtu wangu jinsi Arsenal walivyoupokea ubingwa wao.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
19 Jul 2015

Post a Comment

 
Top