March 16, 2025 01:40:40 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MTEMVUUU
Soudy Brown leo yuko na Sitti Mtemvu, ukaribu wake na Mwana FA kuna chochote kinaendelea? 
Sitti amesema amewahi kukutana na anamchukulia kama rafiki wa kawaida, hana uhusiano naye ila waloiwahi kutoka pamoja kwenda kwenye kisiwa cha Mbudya wakiwa pamoja na msanii mwenzake AY.
Sitti amesema anawakubali sana Shetta na Diamond.. na anawakubali pia Mwana FAna AY kwa kuwa wamekuwa wakifanya vizuri kwenye muziki toka zamani.
Isikilize hapa U Heard, Soudy Brown na Sitti pembeni yake yani..

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
20 Jun 2015

Post a Comment

 
Top