March 19, 2025 05:19:40 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

β€œI hit it first” hit maker Ray J, mwenye umri wa miaka 34, anampenda mbwa kwa kiasi ambacho ameamua kumfanyia sherehe maalum kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa, sherehe ambayo itafanyika Petrock Hotel and Spa iliyopo Encino, California, ambapo wageni watapita kwenye red carpet kabla ya kuingia.

Taarifa za TMZ zimeeleza, chakula kwa wageni, pia kutakuwa na sehemu maalum kwa ajili ya chakula cha mbwa na keki maalum kwa ajili ya mbwa wake anayeitwa Boogotti na marafiki zake watakuwa hapo.

Lakimi, mtu mmoja hatokuwepo ambae ni Princess Love, ambae alikuwa akimmiliki mbwa huyo mpenzi wa zamani wa Ray J.

Star wa β€œThe Love and Hip Hop” waliachana vibaya mwezi Oktoba kitu kilichopelekea Princess kuondoka na mbwa wao watatu, kitu ambacho kimefanya Boogotti abaki peke yake.
 
Haiko wazi kama mbwa wa Princess watahudhuria birthday bash ya Boogotti.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
21 Jun 2015

Post a Comment

 
Top