Home
»
general news
» Ajali ya ndege ya Kijeshi iliyotokea muda mfupi uliopita kwenye makazi ya watu Indonesia… (Pichaz)
Kama uko karibu sana na TV za Kimataifa kama BBC, Sky News na CNN utagundua kwamba kwenye stori kubwa zilizopewa headlines sana iko ya Shambulio la Kugaidi lililotokea Tunisia na kusababisha mauaji ya Watalii.. Breaking News imeingia nayo kwenye stori kubwa zilizo kwenye headlines sasahivi, inahusu Ndege ya Kijeshi kuanguka kwenye makazi ya watu Indonesia na watu 30 wamefariki.
Ndege hiyo ilipata ajali muda mfupi baada ya kuruka kutoka kwenye Uwanja wa Medan Polonia Airport.. ndani ilikuwa imebeba jumla ya watu 12, ndege imeanguka kwenye mtaa ambao una makazi ya watu pamoja na Hoteli, gari moja pia limewaka moto baada ya kutokea ajali hiyo.. eneo lote la ajali limeshika moto.
Wenyeji wa eneo hilo wamesema hii ni mara ya pili kwa nyumba za eneo hilo kuangikuwa na ndege, iliwahi kuanguka Boeing 737 mwaka 2005 ikaua watu 143 na kati yao watu 30 walikuwa ni watu ambao wanaishi eneo hilo, hawakuwemo ndani ya ndege.
Vikosi vya Zimamoto na Uokoaji vinaendelea na kazi ya kuzima moto pamoja na kutoa miili ya watu waliofariki kwenye ajali hiyo, huenda idadi ya waliofariki na majeruhi ikaongezeka wakati wowote kuanzia sasa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Jamaa Aliyejitosa Zoo Aliwe na Simba Laivu Alikuwa Anadai Mwisho wa Dunia Umefika...23 May 20160
Inasikitisha kwakweli, ameokolewa.... na simba walioanza kumla waliuwawa. aliingia kwenye jumba ...Read more ?
- Watumishi HEWA Waziponza Benki.......Benki za Dar es Salaam Zalimwa Barua Kurejesha Mamilioni ya Shilingi23 May 20160
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku 21 kwa benki zilizokuwa zikitumika kuwek...Read more ?
- Waziri Nchemba Afanya Ziara Ya Kushtukiza Saa Saba Usiku Machinjio Ya Ukonga Mazizi Na Kufukuza Viongozi Wote Wa Machinjio12 Feb 20160
Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba amefanya ziara ya Kushtukiza saa saba usiku...Read more ?
- Askofu Gwajima, Sheikh Wa Mkoa Dar Wakwama Kumjulia Hali Mufti12 Feb 20160
Jopo la Madaktari wanaomtibu Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir wamezuia ...Read more ?
- Siku 100 za Rais Magufuli: Hospitali Ya Muhimbili Yang'aa, Mapato Yapaa na Upatikanaji wa Dawa Waongezeka Kwa Asilimi 9611 Feb 20160
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam imesema ndani ya siku 100 z...Read more ?
- Lowassa Atakiwa Kuvisaidia Vyombo Vya Dola Kukabiliana na Tishio La Kundi la al Qaeda Kuingia Nchini10 Feb 20160
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed amemtaka Wa...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment