Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ommy DMwimbaji Ommy Dimpoz wa bongofleva yamemfika hapaaa na ikapelekea aamue tu kutoa ya moyoni mwake baada ya kupost picha ya tangazo la video mpya ya Ali Kiba kuonyeshwa TRACE TV June 28 2015.
Sasa ndugu zangu tukipost kuhusu Wasanii wenzetu mnatukana, tukikaa kimya tuna roho mbaya…. tufanyeje?? matusi tu hamjali kama watu wana wazazi unamtukania mzazi mwingine kafa, lakini kwa taarifa yenu hainiumi ng’o– Ommy Dimpoz
Mtazame hapa chini…

Commentscomments 2

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
29 Jun 2015

Post a Comment

 
Top