Chanzo chetu ambacho kinadili na masuala ya urembo na mitindo kilisema kuwa, licha ya Jack kuwa gerezani amekuwa akifuatilia mitindo mipya iliyoingia mjini kisha kuwafanyia wenzake.
Chanzo hicho kilisema kazi hiyo imeufanya uongozi wa gereza hilo kummwagia sifa.
Jack anatumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia kutokana na kujihusisha na biashara haramu ya madawa za kulevya
Source: Global Publishers
Post a Comment
Post a Comment