Home
»
BUNGENI
» Dakika Tatu Kutoka Bungeni, Spika Makinda, Saada Mkuya, Martha Mlata na Kafulila baada ya Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kupewa mtoto… (Audio)
Imeendelea kuwa ishu ambayo kila mtu anaiongelea kwenye kona yake anachokiona sahihi, wapo wanaokosoa Mahakama kuamisha Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kupatiwa mtoto wake na Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenzake.
Wa kwanza kuwasha kipaza sauti alikuwa Mbunge Martha Mlata >>> “Tuna Mbunge mwenzetu amemnyanyasa mwanamke mwenzetu ametumia siku moja Mahakamani kumnyang’anya mtoto wa miaka miwili.. Mbunge huyu anajijua kwa sababu mwanamke huyo anaitwa Faiza.. Faiza arudishiwe mtoto wake”>>>
Ikaja time ya Mbunge David Kafulila >>> “Hii nchi ina mihimili mitatu, Bunge, Mahakama na Serikali… Tuheshimu maamuzi ya Mahakama”>>>
Waziri Saada Mkuya alikuwa wa mwisho kuongelea ishu hiyo hiyo >>> “Kama mama na mimi nilipoisikia ile taarifa nilipata uchungu, kila binadamu ana mapungufu yake lakini mtotto alelewe na mama yake”>>>
Sauti za wote nilizipata na nimekusogezea hapa pia.Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Polisi Wasiowapigia Saluti Wabunge Kukatwa Mshahara14 Jun 20160
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Fakharia Khamis amehoji bungeni adhabu gani askari anapewa ikiwa...Read more ?
- AUDIO: Mnyukano wa Halima Mdee na Dk. Mwakyembe Bungeni Jana Febr 2 Kuhusu Sakata La Mabehewa Mabovu03 Feb 20160
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe na Mbunge wa jimbo la Kawe, Halima Mdee...Read more ?
- Waziri Mkuu Asisitiza Bungeni Leo Kuwa TBC Hawatarusha Live Matangazo ya Bunge28 Jan 20160
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwamba matangazo ya bunge hayatarushwa yote live kama seri...Read more ?
- Bunge la 11 Linaanza Leo.....Haya ni Mambo 8 Yatakayowasha Moto Bungeni26 Jan 20160
Kikao cha pili cha Bunge la kumi na moja linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali wa hoja kati y...Read more ?
- Wabunge 11 Wa UKAWA Watimuliwa Bungeni Kisa Kupinga Muswada wa Sheria ya Petrol04 Jul 20150
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Watanzania limewasimamisha wabunge 11 kwa kudharau mamlaka ya Sp...Read more ?
- Angalia Video Kilichotokea Bungeni mpaka Bunge likaahirishwa Jana July 02 201503 Jul 20150
Kikao cha Bunge kilianza kama kawaida leo July 02 2015, baada ya kipindi cha maswali na majibu y...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment