March 17, 2025 02:35:59 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Barcelona 3-0 Bayern Munich Champions League semi-final: Lionel Messi nets deadly double
Lionel Messi amefunga mara mbili katika pambano kali la nusu fainali za pili za kombe la mabingwa barani Ulaya, zikiwa zimebakia dakika 13 mchezo kumalizika dhidi ya timu machachari ya Bayern Munich.
Wenyeji walionekana kujitayarisha kukabiliana na hali ya kuchanganya kabla ya Messi kubadili mwelekeo huo na kuwa furaha.
Dakika tatu baadaye Messi aliiadhibu Bayern baada ya kumpita mlinzi Jerome Boateng na kufunga kilaini.
Kikosi cha Bayern kikiongozwa na kocha wa zamani wa Barcelona Pep Guardiola, kilizidisha mashambulizi japo kupata bao la ugenini, matokeo yake ni kuadhibiwa tena na Neymar katika dakika ya 90
Hadi kufikia matokeo hayo ya kuchanganya, Bayern walionyesha uwezo mkubwa wa kusakata soka.
Barcelona na Bayern zitarudiana tarehe 12 Mei katika uwanja wake wa Allianz Arena, Ujerumani.Messi doubled his side's lead by running through the heart of Bayern Munich's defence before chipping the ball over Manuel Neuer
Messi is mobbed by Barcelona team-mates after finding a way past Neuer with 10 minutes left to play of the Champions League semi
Pep Guardiola hangs his head in shame on the Nou Camp touchline while Barcelona's players celebrate in the background 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
07 May 2015

Post a Comment

 
Top