
Kwenye kipindi cha Leo Tena alikuwepo Steve mwenyewe, Dude na watu wengine.. Steve amesema hiyo sio story ya ukweli, hakuna ukweli wowote kwenye ishu ya yeye kuhusishwa na upotevu wa pesa hivo.. Dude nae amethibitisha kwamba Steve hajatumia pesa yoyote iliyotolewa kwa ajili ya ujenzi huo.
Steve alikasirishwa na ishu hiyo, lakini mpaka mwisho wa mjadala wao tayari wamepata suluhu, ila wamelaumu waandishi ambao waliiandika story hiyo kwamba Steve amekula hela iliyotolewa kujengea kaburi la Kuambiana bila kujua suala lote lilivyokuwa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment