hilo,Hivyo basi bila ubishi #Shishi ni my shem, Ila kwa styl hii daaaa nimeshidwa kuvumilia nikaona ni bora tu share watu wangu wa#udaku_wa_kibonajoro_ngasa kuwa hii ni sawa jamani? Kumbuka hapo sio Tanzania, Ni mamtoni ambako alikuwa anapiga show, Sasa jiulize wao watatuchukuliaje sisi watanzania?? Kama msanii ambaye ni kioo cha jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii kupitia sanaa yake, Sasa cjui anatuelimisha kwa kutuonyesha manyonyo yake au la?? Ila mie sijui

#Kama_vip_na_iwe_Fundisho#Ikibidi_tuzoee_tu kwa sababu#hakuna_namna_sasa
Share na wenzako.
Credit: BoosNgassa
Post a Comment
Post a Comment