March 16, 2025 01:49:45 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua minong’ono ya hapa na pale miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt na Wema Sepetu.

Aunt Ezekiel na Wema Sepetu  nimarafiki wa karibu sana japokuwa hivi juzi kati kuliripotiwa  na vyombo mablimbali vya ukudaku kuwa urafiki wao umeyumba baada ya kusemekana Aunt aliipigia promo show ya Zari All White Party iliyofanyka siku ya mei mosi.

Kitendo cha Kajala kuhudhulia kwenye Baby Shower ya Aunt   kamezidisha minong’ono ya chini kwa chini kuwa inawezekan ikawa kweli kuwa hausinao ya Aunt  na Wema yameyumba kwani Kajala na Wema kwa muda sasa wamekuwa hawapo sawa.

Hongera sana Kajala na Aunty kwa kuonyesha upendo.

Mzee wa Ubuyu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
11 May 2015

Post a Comment

 
Top