March 17, 2025 02:10:39 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.

Aunty Lulu amelieleza gazeti la Risasi Jumamosi  kuwa wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka mapenzi kinyume na maumbile  baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
 
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa  najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata  mara moja,” alilieleza  gazeti  hilo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
09 May 2015

Post a Comment

 
Top