March 19, 2025 09:15:41 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kutoka Mitandaoni: Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel ameamua kuvunya ukimya fufuatia comment mablimbali za mashabiki juu ya kile kinacho daiwa kuwa urafiki wake na staa mwenzake Wema Sepetu umeyumba.

Madai ya kuyumba kwa  ufafiki baina ya mastaa hao yameibuka kwa kasi baada ya hivi juzi kati kufanyika kwa baby shower ya Aunt na Wema kutokuwepo kwenye pati hiyo, kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa mastaa hao wamekuwa wakihoji ina wezekana vipi Wema kukosa kwenye pati hiyo.

Kifuatia minong’ono hiyo kuzidi na watu kumshambulia kwa maneno mtandaoni kwa kila nachokiweka kwenye ukurasa wake, hatimaye Aunt ameibuka na kusema wazi kuwa hana na wala hataki tatizo na mtu na kuwa yeye kwasasa ana mambo yake.

“Wakati wewe unaongea majungu mimi naangalia hatma yangu sitaki tatizo na mtu sina tatizo na mtu kama kuna tatizo sema na mtu wako sio mimi lisitoke kwa mjambaji likaja kwa mtema mate” Aunt aliandika.

Nadhani ameeleweka.

Mzee wa Ubuyu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
13 May 2015

Post a Comment

 
Top