March 15, 2025 01:21:00 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kama unakumbuka mmoja wa Wageni wa Party ya Zari all White Party pale mlimani City alikuwa pia Mrembo Huddah Monroe , Lakini Pamoja na Kuweka picha kwenye Instagram Akiwa Ameshatua Bongo kwa Party hiyo akiwa hotelini pale Hyatt zamani Kempinski Mrembo huyo hakuweza hudhuria hiyo Party ..Sasa ubuyu uliopo mtaani ni kuwa sababu za yeye kushindwa kuhudhuria party hiyo ni mtoto wa Mahita  a.ka Tajiri mutoto, inasemekana walikutana pale Hotelini na kuanza kupagawishana na kusahau kila kitu ..Mwendelezo wa hao wawili ulihamia kwenye visiwa vya Zanzibar kama Picha zinavyoonyesha hapa chini kwenye picha ambapo kila mmoja alikuwa akipost picha wakiwa kwenye Boti..ukiangalia kwa makini hilo ni Boti Moja Japo Hawakupiga Picha ya Pamoja...


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
06 May 2015

Post a Comment

 
Top