Home
»
Faiza Ally
» Aliyekuwa Mke wa Mbunge Sugu Aiponda Show ya Zari All White Party, Adai ilipooza Bila ya Wema Sepetu
Nimekutana na hii Mahali Aliyekuwa Mke wa Sugu Ameandika Jinsi Alivyoona Show ya Zari
Jisomee Mwenyewe Hapo chini:
Faiza_Ally : ilikuwa Kawaida Sana..Sio Kivilee nacho taka kusema bila kuficha kuwa watu ambao nilikuwa karibu nao waliboreka! halafu tukajikuta tuna miss Madamu WEMA hata mimi niliona kwamba angekuwepo WEMA pale huenda ingekuwa tofauti WEMA anapendwa na Watanzania sana nilicho kiona Jana ni Kwamba mizuka maandalizi kawaida sana sikuona hiyo historia au nilicho kifurahia sana au labda nilikuwa nimepania au labda nilikuwa nafikiria kitu tofauti lkn cha msingi ni kwamba WEMA anapendwa bado akifanya chochote Watanzania watasapoti kwa Namna yoyote..Anyway kifupi nilicho enjoy ni nguo zangu na picha lkn the rest mhhhhhhhhhh"
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Mzazi Mwenziye Sugu Mahakamani Tena....Aamua Kudai Haki ya Mtoto wake yake Upya....31 Jul 20150
Imelda MtemaFAIZA Ally, ambaye ni mzazi mwenzie na mbunge wa Mbeya mjini kwa ‘leseni’ ya Chama c...Read more ?
- Sentensi Nyingine 22 za Faiza Ally Kuhusu Mavazi yake, Mtoto, Dini, Umaarufu.. Anajuta? (Audio & Pichaz)22 Jul 20150
Kama uko karibu na stori za TZ najua hautakuwa umesahau kuhusu ishu ya Mbunge wa Mbeya Mjini, ...Read more ?
- Faiza:Sugu Amedanganya Bunge Kuhusu Matunzo ya Mtoto...Adai Hayupo Tayari Kuyamaliza Kifamilia30 Jun 20150
Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi, Faiza Ally jana amesema 'Sugu' a...Read more ?
- Faiza Ally : Najuta Kuvaa Nguo Iliyoonesha Makalio Yangu28 Jun 20150
Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti...Read more ?
- Faiza Ally Atoa Kauli Nyingine 'Nimekata Rufaa na Nawahakikishia Nitashinda Kesi na Nitamlea Mwanangu na Nitavaa Mavazi Yangu na Kuenjoy Maisha'25 Jun 20150
Leo Mrembo Faiza Ally Ameibuka tena na Kuongelea issue ya Kunyang'anywa mtoto na Mh Sugu Kupitia ...Read more ?
- Baada ya Sugu Kushinda Kesi,Faiza Asema Bora Kufa Kuliko Kumuona Sasha Akilelewa na Mama Mwingine24 Jun 20150
Baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Osmund...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment