Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukizingatia yeye ni mjamzito.
Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.
Wewe, unamaoni gani juu ya hizi
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment