
Polisi hawaonekani katika mitaa ya mji mkuu wa Burundi, Bujumbura, kwa mujibu wa shirika la habari la AP. Taarifa zaidi zinasema maelfu ya watu wanashangilia jaribio la mapinduzi ya Rais Pierre Nkurunziza, ambaye yuko nchini Tanzania kwa sasa.

Raia Washangilia mjini Bujumbura






Polisi waliokuwa wakipambana na waandamanaji wameamrishwa kuondoka barabarani.

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment