Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Siku chache zilizopita Ant Ezekiel alifanya Baby shower kwa ajili ya mtoto atakaezaliwa, party ambayo ilihudhuriwa na mastaa kadhaa wa Bongo isipokuwa rafiki yake Wema Sepetu kitu ambacho kimetafsiriwa kuwa wana matatizo marafiki hao wa karibu kwa muda mrefu sasa.
Stori hii imeunganishwa na ile ishu ya Zari All White Party ambayo ilifanyika wiki 2 zilizopita ambapo Ant Ezekiel alipost ujumbe kwenye Instagram ukiizungumzia show hiyo, kitu ambacho kinasemwa kuwa ilikua ni sawa na kumsaliti Rafiki yake Wema Sepetu ambaye siku hiyo alikua Mwanza.
Soudy Brown kampigia Ant Ezekiel na kakubali kuizungumzia hiyo isue, unaweza kubonyeza play hapo chini kusikiliza mahojiano 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top