Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia bibi mmoja ajulikanaye kwa majina ya Laurencia Athanas mkazi wa Kiseke, Ilemela jijini Mwanza kwa tuhuma za kumchoma visu vya moto mjukuu wake na kumsababishia majereha mbalimbali mwilini akimtuhumu kupoteza peni ya sh. 200.
UNYAMA Jijini Mwanza: Bibi Amchoma Visu Vya Moto Mjukuu Wake Akimtuhumu Kupoteza Peni Ya Sh. 200.... Picha ziko hapa

Post a Comment
Post a Comment