Ndugu Zitto Kabwe Kiongozi ACT Wazalendo akizungumza na wananchi wa Iringa mjini
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Kitaifa Mama Anna Mghwira
Wananchi wa Iringa Mjini Wakiwasikiliza Viongozi wa ACT Wazalendo katika Mkutano wa Hadhara Uliofanyika Katika Viwanja vya Mwembetogwa |
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Samson Mwigamba akiongea na wananchi wa Iringa Mjini
Suleiman Msindi maarufu kama Afande Sele akizungumza na wananchi wa Iringa Mjini Hii leo
Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema wananchi na watanzania wakati umefika sasa kupuuza propaganda za jukwaani zinazofanywa na viongoziwao, amesema ifeke mahali wawapime viongozi waliowachaguwa namnagani wametekeleza ahadizao ndani ya jimbo na nje ya jimbo kwa muda waliowatumikia,
Kabwe ameyasema hayo leo wakati akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mjini Iringa katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Mwembetogwa
amesema viongozi wa wapinzani wamekuwa wepesi kupiga kelele za ufisadi na kusahau ufisadi wao
amewataka wananchi kupuuza porojo za wapinzani dhidi yake na kuwataka wananchi wampime kwa utendajikazi wake ndani ya Bunge na nje ya Bunge
amesema wapo wabunge ambao nimabingwa wa kupiga porojo Bungeni lakini Majimboni hakuna walilolifanya
amesema kwa upande wa ACT Wazalendo wameanza kwa kutangaza malizao na kupinga ufisadi wa waziwazi
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment