Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baadhi  ya  wanafunzi  wa  Chuo  Cha  SAUT Kilichopo  jijini  Mwanza  wamejikuta  wakiumia  vibaya  baada  ya  kuanza  kukimbia  hovyo  wakidhani  wamevamiwa  na  magaidi. Cha  kufurahisha  ni  kwamba  waliyekuwa  wanamkimbia  kumbe  alikuwa  ni  mwanafunzi  mwenzao....

Taarifa  kutoka  Chuoni  hapo  zinaarifu  kuwa  wanafunzi wa shahada ya uzamili katika biashara  walikuwa na mtihani leo, ghafla akaingia kijana wa Kisomali darasani. 
 
Wanafunzi  wote  waliokuwa  darasani pamoja  na  mhadhiri  walianza  kukimbia  hovyo, kila  mmoja  upenyo  wake  pasi  kujua  kwamba  waliyekuwa  wanamkimbia  ni  mwanafunzi  mwenzao  aliyekuwa  amekosea  darasa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top