March 19, 2025 09:15:26 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
“Shukrani kwako uliyeniumba na ukanipa pumzi ya bule bila kukulipa chochote. Asante kwa wale wote wenye kuniombea mema na kunitakia mafanikio.  Asante pia kwa wale wenye kuniombea mabaya mnanipa changamoto ambayo inanifanya nikaze buti kusaka mafanikio kwa kujua sio wote wanaonipenda nasio wote watalia  leo nikianguka kimaisha au kufa asante kwa mnaonipa ushauri . Asante mnaonifariji naamini bila watu hakuna mtu mimi ni mtu nyinyi ni watu naendelea vyema na mtaendelea kupata huduma zangu za aina yeyote na nahitaji kuwapa mambo mazuri zaidi kisanaa na kibiashara kwa uwezo wa Mungu”- Wastara ameandika mtandaoniHivi majuzi Wastara alipata ajali ya gari aliyomsababishia majeraha madogo usoni.hivi sasa anaendelea vizuri zaidi.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
22 Apr 2015

Post a Comment

 
Top