Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
giroud
Chelsea ndio vinara wa ligi kuu ya England kwa kuongoza huku ikiwa na pointi 67 mkononi lakini unaambiwa licha ya Arsenal kushikilia nafasi ya tatu imeweza kufanya vizuri na kuibuka na tuzo za kila mwezi kwa kufanya vizuri.

Mshambuliaji wa Arsenal Oliver Giroud amefanikiwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi katika ligi kuu ya England baada ya kazi yake nzuri akiwa na kikosi hicho.
Giroud raia wa Ufaransa amepata tuzo ikiwa ni ya 16 tangu kuanza kutolewa.
wenger
Naye kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amefanikiwa kutwaa tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya England kwa mwezi Machi ikiwa ni mara ya 14 kwake kutwaa tuzo hiyo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top