Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Meneja  wa staa mrembo, mjasiliamali  na mwigizaji  wa filamu, Wema Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema isipokuwa  ‘drama’  zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko mtandaoni maarufu kama Team Wema wasimtukane .


Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia mkataba na Wema kuwa Balozi wa hospital hiyo.

Sichoki Kumwomba Mungu... Naamini ipo siku tutafika kileleni.....  I love Every thing Abou tHer kasoro drama tu  team wema msinitusi”- Kadinda aliandika.

Na kweli team Wema walimstahi meneja huyu.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top