Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kinachoendelea Muda huu nyumbani kwa Gwajima ni Polisi wenye silaha za moto wameizingira nyumba ya Gwajima ..Habari tulizozipata ni kuwa Jana Gwajima Alitakiwa aripoti Polisi na Kupeleka Hati za Mali alizo agizwa lakini hakufanya hivyo ..Hivyo muda huu Polisi wako kwake kwa ajili ya kumkamata lakini Mpaka sasa Gwajima amejifungia Ndani na Polisi Wameshindwa kuingia Ndani Kwa ajili ya Kumkamata.....

Update:
SAKATA LA GWAJIMA: Nyumbani kwa Mchungaji Gwajima Jeshi la Polisi tayari limeondoka na sasa waumini wake wamefika nyumbani kwa Mchungaji huyo ila bado hajafungua mlango.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

Unknown said... April 17, 2015 at 3:55 PM

kama hana makosa kwanini anajifungia

 
Top