Home
»
Nigeria news
»
Stori muhimu
» Mchungaji kashtukia usaliti unaofanywa na mchungaji mwenzake kwa mkewe.
Matukio ya watumishi wa Mungu kukutwa na skendo za udhalilishaji imekua ikitokea, kama ikitokea huwa inakuwa stori ambayo watu wengi wanazipa attention yani.. Stori ya hivyo inapewa uzito zaidi kutokana na kwamba inakuwa ishu ambayo inahusisha watumishi wa nyumba za ibada.
Nna hii stori kutoka Nigeria, Mchungaji mmoja kaamua kumuandikia mke wake talaka kutokana na kugundua kuwa mke wake ana uhusiano na mchungaji mwenzake ambaye ni rafiki yake wa karibu pia.
Mchungaji Jack aliiambia Mahakama ya Lagos, Nigeria kwamba aligundua uhusiano wa mkewe Kate na mchungaji huyo baada ya kuhama nyumba ambayo walikuwa wakiishi wote tangu mwaka 2011 na hajawahi kurudi tena.
Hata hivyo Kate hakuhudhuria Mahakamani hapo, kuna ripoti zinazosema kwamba mwanamke huyo amefanya kama kususia kuhudhuria kesi hiyo Mahakamahi ambapo Mahakama imetoa amri aandikiwe barua ya kuitwa tena kwenye kesi itakayosikilizwa March 23.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- BREAKING NEWS: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza rasmi tarehe ya kurudiwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar22 Jan 20160
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza rasmi tarehe ya kuru...Read more ?
- Rais Dkt. Magufuli Amteua Jakaya Kikwete Kuwa Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam.21 Jan 20160
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ...Read more ?
- JANUARY MAKAMBAASHANGAZWA NA HAYA MAGAZETI MATATU KUHUSU LOWASSA02 Sep 20150
Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameonesha kushangazwa na mfa...Read more ?
- Polisi Yakamata Majambazi 38 Yakiwa na silaha Nzito pamoja na Milioni 170......Majambazi hayo yanadaiwa na mafunzo ya Kijeshi01 Sep 20150
Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafun...Read more ?
- Wananchi Wafunga Barabara Baada ya Gari la Polisi Kugonga Wanafunzi wawili31 Aug 20150
Wananchi wa eneo la Misugusugu Wilayani Kibaha Mkoani Pwani hii leo wamefunga barabara baada ya...Read more ?
- Hali Tete Bunda, Viongozi CHADEMA Wajiuzulu...Kisa Ester Bulaya22 Aug 20150
SIKU chache baada ya mgombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maend...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment