Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Vijimambo: Mwigizaji wa filamu na mrembo mwenye kujivunia rangi yake, Lucy Komba ambae kwasasa anaishi Ulaya pamoja na mumewe Janus, usiku wa jana alibandika picha hizi mtandaoni akiwa anadendeka na mumewe wakiwa sehemu ya wazi na kuandika maneno ambayo bila shaka walengwa wamemuelewa.

“Zisikutishe kelele za mende wakati kunguru akikuona anakukimbia kwa woga”-Lucy aliandika.

Wadada wa town wanakwambia kwa picha hizi bidada amemaliza,watu wasiowapenda na kuleta figisu figisu lazima watafute ndimu...kwani limao hapa mjini zimebaki za kuungia mboga tu.

Mzee wa Ubuyu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top